
Tuwamulike wote wanaodhuru watoto katika jamii
Tayari watu
wamemulikwa
Hivi ndio namna tunavyoweka maudhui kwenye jukwaa hili

Aina ya makosa ambayo yatazingatiwa yanaaninishwa

Taarifa zitatoka wizara husika na taasisi sahihi kuja Tochi

Tochi itapandisha taarifa kwenye jukwaa na kuhakiki kwa mamlaka

Baada ya hapo taarifa zitapatikana kwa watu wote.